Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,397
- 14,505
Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26.
Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi Septemba kwa ajili ya Simba Day
Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi Septemba kwa ajili ya Simba Day