Simba Yamsajili Alasanne Kante

Simba Yamsajili Alasanne Kante

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,582
Reaction score
10,112
Karibu Simba SC, Alassane Kante.

Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori (piga 0900010000) au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja

1753899987313.jpg
 
Yanga wanamuongeza mkataba Aziz adambwine jamaa msimu mzima ni kama hajacheza, walioelewa hebu nisaidieni
 
Mods ..., usajiri wa simba kwenye jukwaa la siasa wapi na wapi 🤷‍♀️
Peleka jukwaa la sports kule.
 
Wakati wa tambo ndiyo huu kwa mashabiki wa simba. Halafu mwishoni mwa msimu utawashangaa tena wakimlaumu mwekezaji kwa kusajili wachezaji wa kawaida kuliko wale wa wapinzani wao Yanga!
 
Wakati wa tambo ndiyo huu kwa mashabiki wa simba. Halafu mwishoni mwa msimu utawashangaa tena wakimlaumu mwekezaji kwa kusajili wachezaji wa kawaida kuliko wale wa wapinzani wao Yanga!
Tunasajili kwa mbwembwe mwakani tunaacha wote🤣
 
Du hicho kiatu , si atakua mchezaji wa book mbili tu, kwa sababu hicho kiatu ukienda mtaa wa congo unaweza kuuziwa hata kwa shilingi miatano, au ni macho yangu
 
Back
Top Bottom