youngsharo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,491 Reaction score 500 Jan 14, 2015 #1 Timu ya simba imegeuka kichekesho baada ya kukataa kombe walilolitwaa huko Zenji na badala yake wamewaomba TFF wawape hizo point 3 wazihamishie ligi kuu Tz iliajinasue dhid ya kushuka daraja. kwan nafasi ya 10 sio nzuri na haifai.
Timu ya simba imegeuka kichekesho baada ya kukataa kombe walilolitwaa huko Zenji na badala yake wamewaomba TFF wawape hizo point 3 wazihamishie ligi kuu Tz iliajinasue dhid ya kushuka daraja. kwan nafasi ya 10 sio nzuri na haifai.
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Jan 14, 2015 #2 Kafunge nepi kakojoe ulale.
youngsharo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,491 Reaction score 500 Jan 14, 2015 Thread starter #3 sawa naenda kulala na nafac yangu ya 10