Simba yaidai Azam bilioni 1.5/-

Simba yaidai Azam bilioni 1.5/-

Rage anataka kutumia kivuli cha Azam kuwasahaulisha washabiki wasiendelee na ajenda yao ya kumng'oa madarakani kama alivyowasahaulisha kipindi kile kwa ile rufaa iliyowaondoa TP Mazembe. ...
Hata kama Simba isingekuwa na tatizo lolote la kiutawala au kiufundi, bado madai ya Rage ni ya msingi. Labda tunapishana upeo, lakini mimi sioni kosa la Rage hapo, kwani katika yale mashtaka, watuhumiwa walikuwa wachezaji wa Azam na klabu ya Simba, sasa kama mmoja wa watuhumiwa ameamua kuisamehe Azam, hilo halizuii wengine kudai haki zao
 
Mi namjua Rage kuliko hata majority ya Wanachama wa Simba....mfano wakati Simba ikivurunda na Rage kukimbilia India ksbb alizozidai ni za kimatibabu si Wanachama wa Simba walikuwa wakijiapiza kuwa akirudi tu wanampiga chini,sikuwaambia kuwa watasukuma gari lake.....nafikiri wote mliona yale yaliyotokea pale JK Nyerere Airport,huyo ndiye Ismael mAden ya mahaRage
mkuu kwaiyo Rage kama mwenyekiti hana haki ya kutetea maslahi ya simba? Hivi Rage hana ata zuri alilofanya? Nyie ndo mnawaona wana simba hawajielewi
 
I dont care, ni bahati mbaya sana aliyewaroga Wanachama wa Simba inaonekana alishatangulia mbele za haki.
kazi yenu ni kupandikiza chuki mkiona wa2 wanarumbana ndo mnafurahi kumbe hamjui kwamba mnachangia mpira wa nchi kuto endelea, wa2 kama nyie ni virus kwenye soka
 
Mi namjua Rage kuliko hata majority ya Wanachama wa Simba....mfano wakati Simba ikivurunda na Rage kukimbilia India ksbb alizozidai ni za kimatibabu si Wanachama wa Simba walikuwa wakijiapiza kuwa akirudi tu wanampiga chini,sikuwaambia kuwa watasukuma gari lake.....nafikiri wote mliona yale yaliyotokea pale JK Nyerere Airport,huyo ndiye Ismael mAden ya mahaRage
majungu si mtaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom