Simba Yaichapa AFC Leopard 1-0

Simba 1 kmkm 0-amri kiemba
 
Amri Kiemba ameendelea kutubeba, Amis TAMBWE mambo magumu bado (ooops ...ukuta imara maana hatujaruhusu goli)
anyway, ni mazoezi mazuri na kumpa picha mwalimu
 
Analysis yako ni nzuri sana japo hujaweka wazi kuwa pamoja na kutoruhusu goli hata moja safu ya ushambuliaji ni butu sana kwani hadi sasa ina magoli mawili tu. Kwa mwendo huu ligi ikianza Rage lazima atang'oka.
 
Wewe ni Simba in disguise kila mara huishi ku comment mambo ya Simba.Huna klabu wewe.Utazeeka na stress za kuiombea mabaya Simba.Mmechomoa mnaanza kufukuza wachezaji baada ya kulitimua benchi la ufundi.Vipi seguence yako ya hesabu iliishia wapi.Vitatu tu unaweweseka na kudai talaka.Bado hujaona rangi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…