Mkikutana na Yanga ni mwendo wa kupuliza Moto kwanza waambieni wachezaji wa Ubwela FC wafanye mazoezi juu ya moto unaowaka kuni za magogo wakimaliza wakapige tizi kwenye mabarafu km wapo kwenye mafriza ya kuhifadhia Samaki wasioze wakimaliza wakacheze mpira Chini ya maji dakika 90 kujenga pumzi hapo kidogo kidoogo watawasumbua Yanga kinyume na hapo ni mwendo wa vipigo tu