GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,314
Tukio la kukataa kuuza hisa zao kwa Mo Dewj kwa madai kuwa Club ni kubwa sana sijajua walitumia mchanganuo gani kuona kuwa Bil 20 kwa Simba ni chache.Walipaswa kuangalia kwa miaka 10 team imeingiza miaka mingap then wakampatia M Dewji hisa ambazo zingeweza kuendana na uhalisia. Lakin kukataa tu na wakat team yenyewe ni majanga kiuchumi ni kuiumiza club na kuiua kabisa. Kuna siku zaja watamtafuta Dewj wasimwone. Maana itakuwa too late. Tukumbuke bakhressa alikuwa shabiki mzuri wa simba na sasa ana team pinzan sana kwa simba