Nimetoka kuangalia high light ya hiyo mechi , japo kwa ufupi , hiyo game simba wamecheza vizuri mno , kuhusu lile goli bila VAR ni ngumu sana kufahamu kama sio halali au ni halali , ila binafsi nimeona offside, kama vile pacome kuzidi kwake kulimzuzua kipa na kupoteza umakini japo hakucheza mpira wa kwanza yeye
Ni maoni yangu tu.