SIMBA WAMEJIKWAMISHA WENYEWE

SIMBA WAMEJIKWAMISHA WENYEWE

mchakato uliendeshwa kwa pupa kama Simba wangekuwa makini kungekuwa na ushindani mkubwa kupata mwekezaji mwenye pesa nyingi kwa kifupi viongozi walishakuwa na makubaliano na Mo dewji hata kabla ya mchakato kuanza ndio maana alianza kuwapa pesa za usajili na matumizi mengine kipindi simba inaingia mkataba na sport pesa Mo Dewji aliwaka kwa sababu hakushirikishwa, walisahau hata kufanya tathimini ya thamani ya Simba kabla ya kuingia kwenye uwekezaji wenyewe waliposikia bilioni 20 wakaona sawa na hapo ndio kina Kilomoni wanapata pointi
 
Back
Top Bottom