Simba vs yanga

Simba vs yanga

The Maga

New Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Imengundulika kuwa waamuzi wa mchezo uliochezwa jumamosi kati ya Simba na Yanga hawakuwa na njama za kuikandamiza timu yoyote, ila tatizo ni viwango duni vya waamuzi wa soka. Na tatizo hilo ni la kimataifa, hivyo ieleweke kuwa si hapa nchini tu bali hata kwa nchi zilizoendelea kisoka. Hivyo basi tunawaomba wananchi wasichukulie hilo kwa misingi waifikiriayo.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Soka!
 
mkuu nyoosha maelezo, tatizo ni u-simba na u-yanga tu! ikifuatiwa na rushwa!
 
Back
Top Bottom