trojan92 Senior Member Joined May 18, 2024 Posts 106 Reaction score 292 Aug 25, 2024 #1 Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,617 Aug 25, 2024 #2 Nyie hamuogopi? π π
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,744 Reaction score 118,681 Aug 25, 2024 #3 Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!! Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!! Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,507 Reaction score 4,933 Aug 25, 2024 #4 Acha ujinga kushinda vimechi viwili mshajikuta Yanga πππ
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,425 Reaction score 17,063 Aug 25, 2024 #5 kwahyo mnataka kusema simba si lolote si chochote π€£π€£π€£π€£
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,615 Aug 25, 2024 #6 trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Julisha yanga kesha cheza na nani NBC premier league, endeleeni kubaki kileleni, kumbe wachezaji wa kigeni wa singida big stars bado hawajapata vibali toka TFF
trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Julisha yanga kesha cheza na nani NBC premier league, endeleeni kubaki kileleni, kumbe wachezaji wa kigeni wa singida big stars bado hawajapata vibali toka TFF
Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 2,963 Reaction score 5,552 Aug 25, 2024 #7 Simbaa ..yanga hivi ni yangapi cuf?
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,322 Aug 25, 2024 #8 MwananchiOG said: Acha ujinga kushinda vimechi viwili mshajikuta Yanga πππ Click to expand... jamaa wnajichanganya
MwananchiOG said: Acha ujinga kushinda vimechi viwili mshajikuta Yanga πππ Click to expand... jamaa wnajichanganya
trojan92 Senior Member Joined May 18, 2024 Posts 106 Reaction score 292 Aug 25, 2024 Thread starter #9 trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Pigeni kura Yanga anaongoza
trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Pigeni kura Yanga anaongoza
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,375 Reaction score 25,453 Aug 25, 2024 #10 Tate Mkuu said: Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!! Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo. Click to expand... Kushinda mechi mbili siyo jambo dogo ukizingatia mwisho wa ligi utofauti wa points unaweza kuwa mdogo na magoli ni muhimu. Hapo kwenye βmiaka kumiβ, hiyo ni cloud 9. Thatβs were youβre walking.
Tate Mkuu said: Kisa simba imecheza mechi mbili mfululizo na vibonde wa ligi, tayari ameanza kulinganishwa kwenye safari ya ubingwa na mbabe Yanga!! Yanga bado ataendelea kuwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo. Click to expand... Kushinda mechi mbili siyo jambo dogo ukizingatia mwisho wa ligi utofauti wa points unaweza kuwa mdogo na magoli ni muhimu. Hapo kwenye βmiaka kumiβ, hiyo ni cloud 9. Thatβs were youβre walking.
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,615 Aug 25, 2024 #11 trojan92 said: Pigeni kura Yanga anaongoza Click to expand... Amecheza lini
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,724 Reaction score 55,367 Aug 25, 2024 #12 The club above all. Young Africans
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,633 Aug 25, 2024 #13 trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Yani mechi mbili tu mnajitangaza mabingwa πππππππ Hakika hamkokosewa kuitwa makolo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
trojan92 said: Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa Click to expand... Yani mechi mbili tu mnajitangaza mabingwa πππππππ Hakika hamkokosewa kuitwa makolo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sun Zu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2022 Posts 758 Reaction score 2,106 Aug 25, 2024 #14 Tajiri Tanzanite said: Simbaa ..yanga hivi ni yangapi cuf? Click to expand... Yanga ipo nje ya 10 bora. Simba ipo ndani ya 10 bora.
Tajiri Tanzanite said: Simbaa ..yanga hivi ni yangapi cuf? Click to expand... Yanga ipo nje ya 10 bora. Simba ipo ndani ya 10 bora.