Simba vs yanga

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,477
1,346
Wakuu naomba tujadili hapa mstakabali wa timu zetu katika levo ya kimataifa ,Je ninani kifanyike ili vilabu vyetu viweze kuboresho zaidi ,na hatimaye tuweze kuwakilisha vizuri katika anga za kimataifa.
 
Ungetumia muda huo kuijadiri simba maana wana hamu ya kushiriki mechi za kimataifa lkn uwezo wao mdogo.

Lkn yanga hatuhitaji mjadala maana tunajitosheleza kbsa kila mwaka ni sisi tu
Kama huna kuchangia kaa kimya basi
 
Ungetumia muda huo kuijadiri simba maana wana hamu ya kushiriki mechi za kimataifa lkn uwezo wao mdogo.

Lkn yanga hatuhitaji mjadala maana tunajitosheleza kbsa kila mwaka ni sisi tu
Duuuh haya tuambie mkishaenda mnatufanyiaga nini cha maana Watanzania, hebu nijiandae zangu nikampokee Simbu
 
Tukishaenda tunawawakilisha watanzania katika mashindano ya kimataifa. Una swali jingine?
Malizia kbsa nafasi ambayo simba wameshindwa kuifikia kwa muda mrefu sana mpaka imesahaulika Africa yote
 
Malizia kbsa nafasi ambayo simba wameshindwa kuifikia kwa muda mrefu sana mpaka imesahaulika Africa yote

Huwezi kuwa baba kabla ya kuwa mtoto.., anza kwanza nyumbani mdogo mdogo tutazoea mashindano ya kimataifa then waarabu tutaanza kujipigia kama tunavyojipigia Azam na Simba
 
Back
Top Bottom