Simba hakuna conte, kuna kanteZikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.
Chini ni mtazamo wangu!!!!!!
Kikosi cha Simba SC
- Camara (Goalkeeper)
- Kapombe
- Naby Camara
- Chamou
- Rushine
- Konte
- Sowah
- Bajaber
- Dese
- Ahoua
- Mpanzu
Kikosi cha Yanga SC
- Diara (Goalkeeper)
- Mohamed Hussein
- Kibwana
- Bacca
- Job
- Konte
- Maxi
- Doumbia
- Boyeli
- Pacome
- Mzize
Maswala ya Gwajima huu uzi wapi na wapi mkuu.Gwajima amekamata na atachukua nchi.
Siasa na mpira vilisha changanywa kitambo huu ni mwendelezo tu.Maswala ya Gwajima huu uzi wapi na wapi mkuu.
Noma sanaSiasa na mpira vilisha changanywa kitambo huu ni mwendelezo tu.
Gwajima hoyeeeee!
No reform no election
free Lissu
Katika kikosi cha Yanga Maxi anacheza kama kiungo wa kati namba 8 winga anacheza Acua na PacomeZikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.
Chini ni mtazamo wangu!!!!!!
Kikosi cha Simba SC
- Camara (Goalkeeper)
- Kapombe
- Naby Camara
- Chamou
- Rushine
- Kante
- Sowah
- Bajaber
- Dese
- Ahoua
- Mpanzu
Kikosi cha Yanga SC
- Diara (Goalkeeper)
- Mohamed Hussein
- Kibwana
- Bacca
- Job
- Konte
- Maxi
- Doumbia
- Boyeli
- Pacome
- Mzize