Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara 5 na simba akishinda mara 3.
Utabiri wangu kuelekea mchezo nimchezo usiotarajiwa na magoli mengi wa kesho ni
FT 1-1