Simba vs rage kuhamia zanzibar premier league | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba vs rage kuhamia zanzibar premier league

Discussion in 'Sports' started by ngomicom, Sep 12, 2012.

 1. n

  ngomicom Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana kwenye michezo, M/kiti wa simba alieleza wazi kuwa anakusudia kuwa na kikao na kamati kuu kisha wanachama wa simba ili kuomba baraka ya kujitoa kwenye ligi kuu bara, naomba wana JF mliopo jirani na mitaa ya msimbazi mnijuze mchakato huu unaendeleaje:baby:
   
Loading...