Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeee
 
Haya mambo mbona yanakuwa ya ajabu ajabu hivi, hii Simba mwaka huu inaweza kuwa hali mbaya zaidi kuliko hata mwaka jana.
 
Masuke mambo!!!
Mnaonaje kugawana point na Mbeya City? raha eeehh!!!
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo mbona yanakuwa ya ajabu ajabu hivi, hii Simba mwaka huu inaweza kuwa hali mbaya zaidi kuliko hata mwaka jana.

Ajabu gani Mkuu? Mwaka jana mliwapiga 2-0 wakachomoa zote!. Mmekuwa mkifunga na kuruhusu kuchomolewa. Poleni sana.
 
Furaha yangu maishani kuona mikia ikifungwa, ahsante sana kibopile.
 
Ngoma bado mbichi hii, watalegeza sasa hivi tena!! Sasa ndo shughuli itaanza, wamechokoza nyuki hawa walafyale.
 
Kama kawaida mcc pigA la pili kabisa....
 
----- ww habari ya yanga imekujaje hapo leo ni simba na beya city sasa habari ya yanga ime kujaje au ww bira kutamka yanga una washwa
 
Hapa tutabaki Yanga tuu, mikia wengine walijua kabisa hawajakanyaga hapa.
Hawa mikia waliopo wataondoka kimyakimya.
 
Ajabu gani Mkuu? Mwaka jana mliwapiga 2-0 wakachomoa zote!. Mmekuwa mkifunga na kuruhusu kuchomolewa. Poleni sana.
Mwaka jana tulimaliza mzunguko wa kwanza tukiwa vizuri na tulikuwa tunaongoza ligi, mwaka huu ni aibu.
 
Back
Top Bottom