njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
usijali mtaalamu sven ataingia kwa kujilinda na kwa tahadhari,mshambuliaji mmmoja mbele kama kawaidaBasi simba anaweza kupigwa hii game tusiamini sijui tatzo nini cc green warriors,mashujaa
kuhus green warriors sijui ila mashujaa nusu ya wachezaji walikuwa wamelewa pombe, dida alitapika kwenye basi kabisa baada ya mechiBasi simba anaweza kupigwa hii game tusiamini sijui tatzo nini cc green warriors, mashujaa
sijui boss we unaona tatizo ni nini?aina ya uchezaji si ndiyo mfumo au?hujui mchezaji akienda kinyume na maelekezo ya kocha ni jinai?kwa mfanao kama kocha hataki wajaribu mashuti nje ya 18,kona ziwe fupi n.k...Kwani tatizo la Simba Ni kutocheza na mastrikers wawili au Aina ya uchezaji wa Simba?
Nyinyi ninawashangaa Sana kulalamika eti kocha hachezeshi mastrikers wawili wakati Kuna wakati anawapanga wote na ailipi ndio maana kachagua kwenda na striker mmoja.Tatizo kubwa la Simba sio Hilo Bali wapo very slowly kwenye build up pia Wana weakness kwenye defense line hata awachezeshe mastrikers wawili Kama hawatabadilika kiuchezaji it will not worksijui boss we unaona tatizo ni nini?aina ya uchezaji si ndiyo mfumo au?hujui mchezaji akienda kinyume na maelekezo ya kocha ni jinai?kwa mfanao kama kocha hataki wajaribu mashuti nje ya 18,kona ziwe fupi n.k...
hakuna shida boss si ndiyo maana hata kesho nimesifia mechi ya majimaji ya kwamba tutacheza kwa tahadhari huku tujilinda?ishajulikana kwamba mfumo wa kudumu wa simba ni 4-2-3-1 msimu mzima so its all good,naskia teams zote za kisasa duniani zinacheza hivyoNyinyi ninawashangaa Sana kulalamika eti kocha hachezeshi mastrikers wawili wakati Kuna wakati anawapanga wote na ailipi ndio maana kachagua kwenda na striker mmoja.Tatizo kubwa la Simba sio Hilo Bali wapo very slowly kwenye build up pia Wana weakness kwenye defense line hata awachezeshe mastrikers wawili Kama hawatabadilika kiuchezaji it will not work
hujawahi ona?ndo utulie sasa live updates hata kama jonas mkude akionekana sasa hivi ile mitaa yake ya kawe anakunywa konyagi na kuvuta bangi kisha kesho akipangwa vijana wa majimaji wanapita katikati pale kwa kasi za chikwende au kisila ukimuona WEWE WEKA TU NI LIVE UPDATE..SAA MOJA KESHO ITAFIKA TU..kishingo ,master wa soka la kisasa Tanzania ataingia na 4-2-3-1 akicheza kwa tahadhari dhidi ya wakali wa zamani wa soka tanzania majimaji mabingwa wa ligi ya muungano 1998Mechi kesho afu ...unaletea Live Updates🙄 leo
simba ndio wenye social media zote nchi hii acha watambeMechi kesho afu ...unaletea Live Updates🙄 leo
Ulikuwa na kocha Nini mkuuNi kombe la FA kesho saa moja usiku uwanja wa mkapa ambapo mtaalamu mzungu wa simba toka ubelgiji Sven vaan debroeck ambaye ni kipenzi cha mashabiki wa simba anatarajia kucheza wachezaji wasiopata nafasi mara kwa mara
Kikubwa ni kwamba ule mfumo wake pendwa anaotumia iwe ni mechi kubwa au ndogo yaani 4-2-3-1 unatarajiwa kutumiwa
hivyo tutarajie simba itakayokuwa inacheza kwa tahadhari kubwa huku ikijilinda shidi ya majimaji ya songea
Mfumo huo pia unatarajiwa kutumia tarehe 6 katika mechi ya marudiano na platnum ya zaimbabwe..MFUMO HUO PIA UNATARAJIWA KUTUMIWA TENA NA TENA NA TENA NA TENAAAAAAA hata katika mazoezi, ni mfumo pendwa wa mtaalamu sven.
Inasemekana hata akiwa kalala usingizini huwa anaota kwa sauti na kuutamka mfumo huo huku akitabasamu kwa bashasha
kikosi kinatarajiwa kuwa..
kakolanya,duchu,gadiel,kennedy,ame,ndemla,miraji,muzamiru,bwalya,ajibu,kahata.
hahahahahahahaUlikuwa na kocha Nini mkuuView attachment 1660666