Simba vs JKT Ruvu

Heeeeeeeeeeeee ushindi wetu leo jamani hawatoki hawa watoto
 
Simba 3 na Ruvu 0

mwaka huu ni wenu watani...hats off!

unazi pembeni....mna-deserve all the plaudits around maana score margin hii si ndogo dhidi ya timu ngumu kama ruvu!
 
mwaka huu ni wenu watani...hats off!

unazi pembeni....mna-deserve all the plaudits around maana score margin hii si ndogo dhidi ya timu ngumu kama ruvu!
Pamoja mkuu, ila Azam anatupa hofu....
 
Hofu ni Azam, inahonga sana
Kitaeleweka tu, kikubwa ni baada ya hii mechi Simba inabidi itafute mechi nyingine ya kushinda tena kwa magoli walau 3 hapo mambo yatakuwa yameiva.
 
Pamoja mkuu, ila Azam anatupa hofu....

azam hawana experience ya ku-handle pressure ya kwenye run-in stage.
wata-recoil where/when it matters kama ilivyowatokea last season.
 
azam hawana experience ya ku-handle pressure ya kwenye run-in stage.
wata-recoil where/when it matters kama ilivyowatokea last season.
mechi zao mbili marefa wamepigwa inadaiwa wanahonga sana marefa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…