Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Mkuu ndetichia mbona comment zetu unaziflip flop.
 
Last edited by a moderator:
 

Figure ni siri Mkuu.
 
Ha ha ha haa, mnafurahia kushuka kwa Toto eti inawakamia wakati uwezo wenu mdogo na leo hamtoki. Mkuu Masuke issue ya Okwi mbona mmepigiwa cheusi na chekundu pale? Msomali hana uzoefu wa mikataba na hashauliki atalia kila siku.
 
Ruvu wameimarika kipindi hiki. Huenda wakaharibu nafasi ya 3 kwa Mnyama.
 
Figure ni siri Mkuu.

Mkuu ni siri kwa sababu hamna kitu, kungekuwa na kitu mbona kila kitu kingekuwa wazi, mbona wenzetu wa ulaya figure zao zinajulikana na unaweza kujua club gani inaongoza kwa ukwasi kiasi, lakini huku kwetu tunafanikiwa kujua pointi na magoli tu na msimamo wa ligi na yenyewe ni kwa sababu inachezwa sehemu ya wazi, maadamu ingekuwa inachezwa ndani sehemu ambayo sio ya wazi mpaka sa hivi tungekuwa tunaulizana timu gani inaongoza.

Vipi hatujaongeza la pili tu?
 
Ndetichia unanisingizia mkuu mbona post zilizopandana ni za Msuke na Makoye Matale mi nimeingiaje hapo?

Hahahaha, gunia la misumari hilo, yeye mwenyewe kaiba anataka akupe wewe kubeba.
 

kweli kabisa mkuu..
 

Bado Simba 1-1 Ruvu Shooting.
 
Ndetichia unanisingizia mkuu mbona post zilizopandana ni za Msuke na Makoye Matale mi nimeingiaje hapo?

wewe ndio ulieanzisha matokeo yake wote tumeingia humohumo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…