Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Asante mkuu, naomba uzidi kutuletea update, hapa nilipo TBC Taifa imegoma kuplay online kwa hiyo nakutegemea sana.
Mimi nimepita kule nikatoa pole na kuondoka.Usijali Mkuu, nimesaini auti kwenye ishu ya Arusha naona ban iko nje nje tu, kuna watu wanaposti kichefuchefu.
Bado Simba 1-0 Ruvu Shooting.
Simba leo wanashambulia kusaka nafasi ya tatu. Lango la Ruvu Shooting liko matatani hata hivyo matokeo bado 1-0.
Unajua nilishasahau kama ligi ya Tz bado inaendelea, kwani nafasi ya tatu ina umuhimu gani kwenye ligi yetu?[/Q
Kuna zawadi, hata kama kusingekuwa na zawadi bado nafasi ya tatu sio sawa ya nne, huwezi jua Azam au Yanga wanaweza wakafulia na sisi tukapata nafasi mojawapo ya kuwakilisha nchi.

Licha ya zawadi au kusubiri Azam au Yanga afulie, heshima ni muhimu. Sunzu kapigwa yellow card. Half time bado 1-0.

Piganieni hako kazawadi lakini kuombea Yanga au Azamu zifulie ni kuchekesha walionuna kwa kuwa hizo ndio first and second richest club in Tz respectivelly.

Tafadhali mkuu, naomba uniwekee hapa account zao zinasomaje sa hivi ili tujue kweli kama ni matajiri respectively kama ulivyosema.

hehehehehheheeee wapeeeee muneno hiyo..
Licha ya zawadi au kusubiri Azam au Yanga afulie, heshima ni muhimu. Sunzu kapigwa yellow card. Half time bado 1-0.
aangalie tu wasimpe red card tu maana soccer la afrika..
Tafadhali mkuu, naomba uniwekee hapa account zao zinasomaje sa hivi ili tujue kweli kama ni matajiri respectively kama ulivyosema.
Ha ha ha haaa, A/c za nini kaka wakati vitendo vinaongea? Kwanza ndio club pekee zinazomiliki viwanja japo nanyi mnacho kile cha kuazima pale Kinesi, pili tunauwezo wa kusajiri au kuzuia usajiri wa mchezaji yoyote tumtakaye rejea usajiri wa Twite na Ngassa mpaka maharage yenu yakamwaga machozi. Chezea Yanga wewe?
mapumziko bado au tayari kwako makoye