Simba v Polisi Morogoro

Simba v Polisi Morogoro

Mi nasikitika tu jamani hatuioni simba wala yanga makani
Kushuka kwa Toto ni
pigo kwa Yanga, hii ni moja ya timu ambazo humnyanyasa Mnyama na
kumnyima nafasi ya ubingwa, mfano mwaka huu pekee kati ya pt. 6 Mnyama
kaambulia pt. 1 tu. Anyway RIP Toto Africans, mwaka kesho mtafufuliwa
tu.
 
sijaelewa kabisa hii inshu,mtaani kila anayeniuliza kuhusu matokeo ya mechi ya leo wanatanguliza kuuliza hivi; VIPI SIMBA KAFUNGWA NGAPI LEO?
hivi sijaelewa maana yake
 
Sasa hapo unashindwa kuwajibu? wambie kafungwa moja naye kafunga mawili.
 
Waliokuwa mabingwa wa Tanzania, Wachezea Libolo, Simba SC wako uwanjani kumenyana na Polisi Morogoro. Hadi mapumziko Simba 1-1 Polisi Morogoro.

Dakika 2 ya kipindi cha 2 Ngassa katupia bao hivyo Simba 2-1 Polisi Morogoro.

toto aende zake na maji tu ajipange upya..
 
Mechi ya mwisho tunaweza kushinda maana Yanga wataingia kwa kukamia halafu wanakutana na Simba mtoto anataka ajenge heshima na kuhakikishiwa namba ili awe Simba mkubwa moja kwa moja, nakwambia wale madogo watataka sifa siku hiyo, watakamua soka utadhani wanawania ubingwa.

Bado unaamini kuwa utashinda Mei 18?
 
Mkuu hao Toto ni sikio la kufa, halafu ukichanganya na fitna waliyofanyiwa na TFF basi ndio ikapigilia msumari wa mwisho.
Ninahisi Toto itawachukua miaka mingi kurudi ligi kuu
Hao mkuu hakuna mtu waliyewafanyia Fitina. Mkuu hao ni sawa na mwanafunzi kilaza anayejiandaa kwa mtihani wa somo moja tu akitarajia kufaulu.

Walitegemea nini wakati kocha wao na kaka yao Yanga waliwaandaa kwa mwaka mzima kwa ajili ya mechi moja tu ya Simba SC.
 
Hahahah hapo kwa RED imebidi nicheke tu...
Kaka fitna waliyofanyiwa hawa jamaa ni moja ingawa haina uzito sana, TFF walidai eti uongozi wa Toto umeshawahi kuwaandikia barua ya kuomba mechi zao zimalizike haraka kutokana na ukata uliokuwa unawakabili.
Mwisho wa siku wamejikuta wapo mkiani na mechi walizobakiza ni chache kuliko za wale wenzao wanaoburuza nao mkia.
Mathalani wakati Toto ana mechi moja tu kabla ya ligi kumalizika, kuna timu zina mechi mbili hadi tatu na ukiangalia points zao zimelingana....heheheh
 
Ni kweli hao Toto mawazo yao yamekaa kitoto zaidi, barua waliyoiandika ipo TFF wakiomba waruhusiwe kucheza mechi zote za mkoa/kanda husika kwa ajili ya kubana matumizi bila kujua impact yake, lakini hiyo pia si sababu mbona mwenzao Yanga pia alicheza mechi nyingi mfululizo kuliko Simba na wakashinda mechi zao mpaka ukafikia Yanga amecheza mechi 24 wakati wenzao Simba wamecheza mechi 22 tu.

Kwani wangeshinda mechi zao wangelalamikia nini? Waache kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu, tatizo linaeleweka hao Toto walijiandaa msimu mzima kwa ajili ya Mechi za Simba tu ili walipwe malimbikizo ya Mishahara yao!
 
Mkuu unachosema kina ukweli, maana haingii akilini timu inachukua pointi nne toka kwa aliyekuwa bingwa mtetezi halafu inashuka daraja, kweli hayo ndo matunda ya kujiandaa kucheza na timu moja.
 
Hayo ndiyo yanayofanywa na baadhi ya timu hata kwenye ligi ya England (EPL), sitazitaja ila wadau wanazijua wenyewe. Zinajiandaa kwa ajili ya MAN U tu.
 
Back
Top Bottom