Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,857
- 3,050
Naam ,tuwape elimu watu , na tuliowahi kujenga tunajua kama hujaanza unaweza kumiliki hata milion 50 ukabaki nyumba ya kupanga huku kuna njemba kwa mwezi anapata laki tatu na hivyo milion 3.6 kwa mwaka ana nyumba anaishi tena ya milion 20 kwa sababu mlipishana maamuzi ya kuanzaMkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa
Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?
Sasa mtu anatoa hela zake una mwita mpigaji umemsaidia kutoa au kutafuta 2b tena kasema kwa kuanza hiyo kuwapa hamasa wadau wengine. Ndipo nikakujibu huyo mnae mhusudu kawafanyia miundo mbinu ipo bora kule utopwinyo kwenu. Acha kubeza juhudi za watuSio dhihaka kwani mudi hela aliyotoa tumedanganya?
Hakuna cha juhudi huo ni mpango wa majuha na mazuzu tu ni kupoteza muda.
Ingia kwenye hesabu ya mapato usiruke viunzi ,
Wewe unahisi mtu anakuja tu anakupa bil 40 afu utarudisha bila kuona unazirudishaje!? Sisi ni wajasiriamali mikopo tunaijua huwezi kukopeswa mil 50 wakati hata dalili za kuingiza milion 10 kwa mwaka huna wala assets zako hazizidi hiyo milion 50 mara kadhaa labda benki ya vichaa
Kama pato la Simba halifikii 1 bil profit means kama atakopa bil 40 atarudisha pesa hiyo baada ya miaka si chini ya 60 sasa nani atafanya biashara ya hivyo ?
Kabsa mkuu usemalo. Akili kubwaNaam ,tuwape elimu watu , na tuliowahi kujenga tunajua kama hujaanza unaweza kumiliki hata milion 50 ukabaki nyumba ya kupanga huku kuna njemba kwa mwezi anapata laki tatu na hivyo milion 3.6 kwa mwaka ana nyumba anaishi tena ya milion 20 kwa sababu mlipishana maamuzi ya kuanza
Sasa ikiwa hafikii 1 b kwa mwaka unadhani ni rahisi kulipa bilion zaidi ya 80 akikopa?
Ni ukweli lazima usemwe hata kama sijatoa hela sasa kwa akili ya kawaida bil 2 si hata kujenga viti vya uwanja haitoshi? .S
Sasa mtu anatoa hela zake una mwita mpigaji umemsaidia kutoa au kutafuta 2b tena kasema kwa kuanza hiyo kuwapa hamasa wadau wengine. Ndipo nikakujibu huyo mnae mhusudu kawafanyia miundo mbinu ipo bora kule utopwinyo kwenu. Acha kubeza juhudi za watu
2b katoa kama mchango. Haja sema kuwa yeye mwisho wake ni.huo. mbona unajipa tabu kumsemea mtu au. Acha chuki.Ni ukweli lazima usemwe hata kama sijatoa hela sasa kwa akili ya kawaida bil 2 si hata kujenga viti vya uwanja haitoshi? .
Nchi nzima wanachama wa simba mpo wangapi na wenye uwezo kuchanga pia wangapi?
Harakati za kijuha.
Tusipende kuishi kwa kukariri maisha. Kama ni jambo linaloweza kuleta tija sioni ubaya likifanyika. Kama kwingine hawajafanya basi Simba wanaweza kuonyesha njia. Tuwape muda. Na wakifanikiwa na wengine watakaoona vema wataiga. Lengo ni kuona soka la Bongo linapiga hatua. Ni aibu kwa timu kubwa kama Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyao.NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Mitopolo nayo itaiga tu... kama walivyoiga utaratibu wetu wa Simba Day.me nadhan wamekurupuka tuu...in fact MHEMKO...
Kwahiyo ni lazima jambo lolote lifanyike kwanza Ulaya ndio liwe ni halali pia kufanyika kwenye mabara mengine?NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Wabongo ni wajuzi wa kukatisha wenzao tamaa, badala ya kuwatia moyo kwenye jambo jema la kimaendeleo.Ni ukweli lazima usemwe hata kama sijatoa hela sasa kwa akili ya kawaida bil 2 si hata kujenga viti vya uwanja haitoshi? .
Nchi nzima wanachama wa simba mpo wangapi na wenye uwezo kuchanga pia wangapi?
Harakati za kijuha.
Hata kama wewe ni Utopolo, changia tu, utabarikiwa. Na sisi zamu yenu ikifika tutawachangia.MIMI NA SIMBA WAPI NA WAPI SASA?
Ni jambo jema ila wrong approach....siyo dhambi kukosoaWabongo ni wajuzi wa kukatisha wenzao tamaa, badala ya kuwatia moyo kwenye jambo jema la kimaendeleo.
Hatua zote hizo zitachukuliwa huo ni mwanzo tuSimba wangeingia contract ata na kampuni wakapewa mkopo au wakajengewa uwanja. Uwanja ukawa named kwa jina la kampuni kwa kipindi cha muda fulani.
Au waingie mkataba na kampuni mfano benki ikawapa mkopo au katika kila mauzo ya tiketi zao watachukua asilimia kadhaa kwa kipindi cha muda fulani.
Vyote hivyo vinawezekana kwa ujenzi wa pesa hizi hizi unazozibeza usihusudu mikopo ndugu ,pale unapoweza kufanya mwenyewe fanya kwa nini ukimbilie kukopa?Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaelewa nini maana ya investment, unaelezwa namna ya kurudishwa bado unakataa
Wewe na mikopo yako umeingiaje hapo. Na gharama ya ujenzi ni billion 30 we 40 unatoa wapi?
Kumbuka entrance tu haitokua source ya income kwa uwanja kuna vitu tofauti na simba kucheza vitaingizia club mapato
Swali la kipumbavu la kufungia mwakaNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Tutafutie itujengee kirahisi kama unavyozungumzaNaiona hii ikifail, yaani mikia mnakosa kampuni ya kuwajengea uwanja na wakatumia (naming rights) pamoja na makubaliano mengine.....hilo bakuli naona ni kukosa ubunifu kwa board......hata Yanga ndiyo kifuatacho, ila ni kukosa viongozi wenye visheni
Kwani uwanja ni wa watu wangapi? Na thamani tajwa ni ipi?Billion 80 umezitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]