Simba tumepotea kwa porojo za utopolo; "lengo letu limetimia sisi ni fanalist cafcc ubingwa wa nbc sio target yetu huku tuache watambe"

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,098
Reaction score
801
Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League!

Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama akicheza stage hiyo. Haya ni mafanikio makubwa Sana bahati mbaya tumeingia kwenye ujinga wa wauza Madafu Wazee wa kuji- boost wao hata quarter final wanashindwa, kupata ushindi nyumbani na MC Alger usonge wakashindwa lakini makelele Moto.

Wamekuwa wakisema sajili zao ni bora swali wamefika wapi?
Kufunga Simba 5× consecutively ndio mafanikio wao walipopigwa between 2000-2010 walizimia au kufa ?
Simba tuamke tuwe Proud na timu yetu kikubwa tu viongozi watuletee watu hatari.
Pia wasije wakamsajili Sowah alishasema Hersi ni Baba yake hatutaki kupigishwa Shot.

NB:
Tunapotoa Thank you Kwa players wetu tusisahau kuwapa Big Thank You baadhi ya wajumbe wa Bodi na benchi la ufundi wakiwemo Matola (kakua atafute timu afundishe kama Ally Katoro katafuta timu Kwa kigezo cha kuwa na uzoefu na huyu Matola Kwa sasa uzoefu wake hatuna shaka nao aende hata Saudia), Try Again nae ni kichomi ajisogeze na mwingine ni boss wetu, mchawi wetu na mlozi wa mafanikio yetu kama Simba a.k.a Mzee wa Kisinia "Mangungu". Mungu ampe nafasi ya kuwa Mbunge ili angalau tupumue. Mzee kazidi kutuchoma miaka 4 tunafungwa chini yako na Utopolo coach akitoa ripoti inafika Utopoloni kama ilivyo. This is big no Mangungu & Try Again must goooo!
 
Tuseme ukweli japo hii thread ni kuhusu Simba ila kwakua umeikejeli Yanga wacha niseme.

Msimu uliopita kweli Yanga haikufanya vizuri kwenye CAF CL lakini hiyo ilichagizwa hasa badili badili ya makocha. Yan msimu mmoja makocha watatu, hilo kama wana Yanga tumelibeba na tunachukua kama changamoto, hatumlaumu mtu.

Huu usajili unaofanyika ni kwa ajili ya michuano ya CAF CL huwezi kuwa na Pacome, Conte, Ecua, Job n.k ukiwa na aim ya kucheza NBC pekee. Kauli zako ni wazi unawapotosha wenzako kwa sababu unataka waamini NBC sio muhimu na wakati umeshindwa mwenyewe.

BTW, ukimtaja Kayoka usisahau kumtaja Kefa Kayombo, Tatu Malogo na wenzake.
 
MAKOLO BANAA
 
Which is which mwanasimba mwenzetu? Tumefanya vizuri hivyo tutoe pongezi kwa viongozi au tumefanya vibaya tuwape pressure waondoke?

Maana unatuambia malengo yamefikiwa kwa wino mweusi halafu unataka viongozi waondoke kwa wino mwekundu.
 
NBC NI kweli ni muhimu but Kwa season hii Yanga imepata Ubingwa Kwa mtutu wa bunduki kila aina ya faulo imefanywa. Simba haikutaka kucheza mchezo wa mwisho No. "184" we were disappointed & embarrassed with Yanga's superiority tendency. Timu inajipangia Referee hadi uwanja wa kucheza if there's no direct switch from rough to technical even this season Yanga will be won NBC trophy but CAFCL as usual as last season.
 
Tulitakiwa kufanya zaidi ya hapo though tumefikia malengo but histocally we've been dwelling with disguised leaders, remember four years back lakini hata hii season tumefika final but angalia kikosi Kuna players wengi ni wa kawaida Sana tunahitaji kuweka pressure tupate quality & best players sio sampuli za Mutale
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ligi inaanza lini ili tusiandikie mate
Sio mbali at the end of August...
Pia Preliminary matches for CAFCL ni September ila hapo Simba hayupo ni Timu ndogo ndogo zitakutana baadae ziungane na THE FIVE BIG GIANTS TEAMS (Simba, Alhly, Berkane, Sundowns & Esperance).
 
Tunasubiri kwa hamu. Socca ni burudani tamu sana kutazama
 
Tulitakiwa kufanya zaidi ya hapo though tumefikia malengo but histocally we've been dwelling with disguised leaders, remember four years back lakini hata hii season tumefika final but angalia kikosi Kuna players wengi ni wa kawaida Sana tunahitaji kuweka pressure tupate quality & best players sio sampuli za Mutale
Mo ndo katoa pesa za kina Mutale mkuu.
 
Uchaguzi ujao Mangungu apewe mitano mingine ili asaidie kuzima hizi kelele.
 
NBC NI kweli ni muhimu but Kwa season hii Yanga imepata Ubingwa Kwa mtutu wa bunduki kila aina ya faulo imefanywa. Simba haikutaka kucheza mchezo wa mwisho No. "184" we were disappointed & embarrassed with Yanga's superiority tendency. Timu inajipangia Referee hadi uwanja wa kucheza if there's no direct switch from rough to technical even this season Yanga will be won NBC trophy but CAFCL as usual as last season.
Nyie jamaa mnadhihirisha ule msemo wa Nyani haoni kundule. Hayo yote hukuyaona kwa Simba pia? Kefa Kayombo na Tatu walivyokua wanajitahidi kuonyesha mahaba yao?

Yan unayaona mapungufu tu kwa Yanga ila kwa Simba mnaficha na kufumba macho.
 
Kuna kitu watu Wana - cram Kefa game yenye utata ilikuwa dhidi ya Namngo but In real sense Simba ingeshinda. Njoo Kwa Yanga game 11 under Arajiga, viwanja wanajipangia. Honestly, this season Yanga imetumia ubabe na viongozi wa Kisiasa waliamua kuingia mazima kuwa Yanga ishinde trophy ya 2024/2025.
 
Hizi ni excuse za kitoto sana usije sema haya maneno mbele ya watu utapigwa makofi. How comes unasema game ya Namungo ungeshinda na tayari refa kazingua? Kwani Yanga hizo game unazosema kabebwa alikua hawezi shinda?

Huu msimu mmezingua acheni kutafuta huruma tujipange kwa ajili ya msimu ujao. Acheni hizi ngonjera
 
Hii ndio cream ya mashabiki wa Simba yaani ndio top cream, hatari sana.
 
Back
Top Bottom