OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,682
- 120,371
Simba SC Nguvu Moja tumeweka msimamo wetu kuwa baada ya Mechi na Costo Union hatutaingiza timu uwanjani kama Yanga na Azam hawapangiwa mechi.Tumechoka na hujuma za kina Malinzi na TFF yake.Wanapanga mechi kiwizi wizi.Sisi hatuna hela za kuhonga mtu wala kununua mechi tunachotaka ni kwamba muache kutuhujumu mara moja.Tunasisitiza tena baada ya mechi ya Costa hatutaingiza timu uwanjani mpaka vipenzi vyenu wamalizie viporo