Rage amewashikia akili simba
Mashabiki wa simba wanapelekeshwa kama gari bovu na hawashtuki, hawa jamaa raha sana kuwatawala!
Kabla haijaanza kurushwa kupitia Clouds TV mlikuwa mnasema mbona hakuna chochote, imeanza kurushwa mnaanza kusema tena mashabiki wa Simba kama gari bovu kumbe mlitaka nini? tunaanza pole pole na baadaye itakuwa TV station inayojitosheleza; kwani nyie na timu yenu ya CCM hamuwezi kuongea na Mshana yule mkurugenzi wa TV ya CCM akawa anarusha mara moja moja habari za timu ya CCM na kipindi hicho kukiita CCM FC TV.Mashabiki wa simba wanapelekeshwa kama gari bovu na hawashtuki, hawa jamaa raha sana kuwatawala!
Kabla haijaanza kurushwa kupitia Clouds TV mlikuwa mnasema mbona hakuna chochote, imeanza kurushwa mnaanza kusema tena mashabiki wa Simba kama gari bovu kumbe mlitaka nini? tunaanza pole pole na baadaye itakuwa TV station inayojitosheleza; kwani nyie na timu yenu ya CCM hamuwezi kuongea na Mshana yule mkurugenzi wa TV ya CCM akawa anarusha mara moja moja habari za timu ya CCM na kipindi hicho kukiita CCM FC TV.
Tunajengea ndani pale Msimbazi kwenye jengo letu, ukishakamilika ndo tutaupeleka Bunju, sasa tuko kwenye hatua ya kujenga majukwaa na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu 45. Tutaweka picha hapa tukifikia hatua ya kuandaa pitch. Vipi bado una swali kuhusiana na club ya Simba pamoja na m/kiti wake?mkuu vipi ule mkataba wa kujenga uwanja, ujenzi haujaanza bado.?maana tulishuhudia wazungu watatu wakitia saini na mheshimiwa Rage.!
Kabla haijaanza kurushwa kupitia Clouds TV mlikuwa mnasema mbona hakuna chochote, imeanza kurushwa mnaanza kusema tena mashabiki wa Simba kama gari bovu kumbe mlitaka nini? tunaanza pole pole na baadaye itakuwa TV station inayojitosheleza; kwani nyie na timu yenu ya CCM hamuwezi kuongea na Mshana yule mkurugenzi wa TV ya CCM akawa anarusha mara moja moja habari za timu ya CCM na kipindi hicho kukiita CCM FC TV.
Mkuu katika post yangu kuna sehemu yoyote niliyosema tumepata mafanikio au unakurupuka tu kuandika bila kusoma nilichoandika?hivi kuandaa kipindi na kukipeleka kwenye tv nayo ni mafanikio, kweli bongo noma hivi nae chereko akisema cheleko tv nae ajipongeze duu kweli mashabiki wa simba akili yenu haizidi ya panzi
Tunajengea ndani pale Msimbazi kwenye jengo letu, ukishakamilika ndo tutaupeleka Bunju, sasa tuko kwenye hatua ya kujenga majukwaa na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu 45. Tutaweka picha hapa tukifikia hatua ya kuandaa pitch. Vipi bado una swali kuhusiana na club ya Simba pamoja na m/kiti wake?

Kuweni kama mbayuwayu,akili za kuambiwa changanya na za kwako!ni simba tv au clouds tv?