Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,281
Hii iwafikie viongozi wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa hadhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi canter kama hii ikanichukulia vitu vya ndani kutokea g/mboto mpaka mbezi kwa Tsh 80,000/= za kitanzania.

Hili ndio gari wanaloliita la wazi liliwabeba wachezaji wa Simba Leo kutokea airport kuelekea makao makuu ya club msimbazi k.koo

FB_IMG_15964480759398530.jpg
 
Hii iwafikie viongoz wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa adhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi canter kama hii ikanichukulia vitu vya ndani kutokea g/mboto mpaka mbezi kwa Tsh 80,000/= za kitanzania.

Hili ndio gari wanaloliita la wazi liliwabeba wachezaji wa Simba Leo kutokea airport kuelekea makao makuu ya club msimbazi k.kooView attachment 1526498
Shida ya mashabiki wa kibongo ni kuongea bila kutafakari, hivi kwa akili zako ulitaka Simba ichukue basi la million zaidi ya mia nne kwa ajili tu ya kusherekea ubingwa.
Yaani unataka ufananishe maisha ya Real Madrid na maisha ya Simba.
Kwa uchumi gani wa Simba hadi ifanye hivyo.
Au utasema wangekodi gari je kampuni gani hapa bongo ina mabasi ya aina hiyo.
Simba haina pesa kiasi hicho mnavyofikiria, Unapohoji kitu fikiria pande zote sio tu kupinga kila kitu bila kufikiria
 
Ivi yale Magari ya Wazi yanayobeba Timu za Ulaya ambalo na wewe ulitegemea ulione kwa Simba Tanzania lipo japo moja? Au yanapatikana wapi hapa Tanzania?

Mambo mengine tusiangalie ushabiki tu au nawewe uonekane umeanzisha Uzi! Hata kwenye Matamasha yetu na Mikutano ya Vyama vya Siasa tunatumia Malori na Macanter kwasababu ndiyo magari pekee ya wazi yanayopatikana Tanzania, Lakini wewe unatarajia uone Magari ya Wazi ya Ulaya wakati Tanzania nzima hakuna hata moja?

Tofautisha Simba na Real Madrid wanapobeba Kombe.

"Tupunguze Mihemko"
 
Yani mijitu haina akili hata kidogo! CCM juu yakuwa wapo Madarakani na Mabilioni yao yote basi wanatumia Lorry kama gari la wazi, halafu anatokea Utopolo eti aone Simba wanatembelea Basi la Wazi wakati tunaishia kuliona kwenye TV tu kwa Nchi za Wenzetu! Sijui huyu Utopolo yeye hilo Basi la Wazi aliliona Mitaa gani hapa Bongo likikatiza!!
 
Walahi natamani ungeniona vile nacheka baada ya kusoma hili gazeti lako. Lol.

King wewe ndio wa kuandika kiupole namna hii. Sio kawaida yako. 😂😂😂

#Muachekujifananishanaosasa.
 
Yani mijitu haina akili hata kidogo! CCM juu yakuwa wapo Madarakani na Mabilioni yao yote basi wanatumia Lorry kama gari la wazi, halafu anatokea Utopolo eti aone Simba wanatembelea Basi la Wazi wakati tunaishia kuliona kwenye TV tu kwa Nchi za Wenzetu! Sijui huyu Utopolo yeye hilo Basi la Wazi aliliona Mitaa gani hapa Bongo likikatiza!!
😂😂😂😂😂 Toooba.
 
Ilo gari ndio uongozi wa mbumbumbu fc umejitutumua kuwabeba wachezaji kushangilia ubingwa, MO amekaa pembeni ana cheeeeeka. Hii inaonyesha level halisi ya klabu ya Simba bila MO.yaani upepo umepuliza tumeziona nyeti za mbumbumbu fc.
 
Shida ya mashabiki wa kibongo ni kuongea bila kutafakari, hivi kwa akili zako ulitaka Simba ichukue basi la million zaidi ya mia nne kwa ajili tu ya kusherekea ubingwa.
Yaani unataka ufananishe maisha ya Real Madrid na maisha ya Simba.
Kwa uchumi gani wa Simba hadi ifanye hivyo.
Au utasema wangekodi gari je kampuni gani hapa bongo ina mabasi ya aina hiyo.
Simba haina pesa kiasi hicho mnavyofikiria, Unapohoji kitu fikiria pande zote sio tu kupinga kila kitu bila kufikiria
Mmeshindwa hata kumuomba bosi wenu hata fuso kubwa linalobeba maji ake alifanyie branding hadi mmechukua kakenta huo uzalilishaji kwa kweli
 
Utafananisha zile scania ambazo CCM walitumia kwenye kampeni na hako kakenta kweli.... Bora mngetoa vichwa nje kwenye basi lenu
Yani mijitu haina akili hata kidogo! CCM juu yakuwa wapo Madarakani na Mabilioni yao yote basi wanatumia Lorry kama gari la wazi, halafu anatokea Utopolo eti aone Simba wanatembelea Basi la Wazi wakati tunaishia kuliona kwenye TV tu kwa Nchi za Wenzetu! Sijui huyu Utopolo yeye hilo Basi la Wazi aliliona Mitaa gani hapa Bongo likikatiza!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom