Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,142
- 138,258
The Mautopolo FCTaifa Kubwa.
Naamini kabisa utopolo nao wamechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza hao viewers, huwa wanatazama wakiamini Simba SC itafungwa matokeo yake wanaishia kuipaisha tu Simba SC kimataifa.
Mkataba wa Sportpesa ukiisha,inabidi Simba wasaini mkataba mzito sana,imeshakuwa level za mbali
Mbumbumbu FC Kwa kulishana matango pori wanaongoza barani Afrika. Mara timu tajiri mara goli Bora n.k wakati ki uhalisia hakuna link yoyote ya Caf inayo elezea upuuzi huo wanao danganyana. Caf kwenye link Yao wameweka magoli mengi yaliyofungwa wiki iliyopita Tena ya Champion league na Confederation wao wanasema goli la sakho limechaguliwa Bora.
Mbumbumbu fc mtauwana Kwa kujitutumua.
Hakuna link yoyote ya Caf inayo zungumzia kua goli laSakho limechaguliwa kuwa goli Bora la week, isipokua Kuna msululu wa magoli yaliyo fungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mashindano ya Caf Moja ya magoli ayo ni la Sakho. Kwakua mmeamua kuwafurahisha mbumbumbu wenzenu bas sio mbaya sisi ni nani tupinge.View attachment 2155360
View attachment 2155361
Tunajua nyie ni haters,ila isije kuwa unatafuta magoli ya Sakho kwenye twita ya CUF ya Lipumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji881][emoji881][emoji881]
Kuwa makini Utopolo la sivyo Sakho atakunyunyizia
Pole mkuuMbumbumbu FC Kwa kulishana matango pori wanaongoza barani Afrika. Mara timu tajiri mara goli Bora n.k wakati ki uhalisia hakuna link yoyote ya Caf inayo elezea upuuzi huo wanao danganyana. Caf kwenye link Yao wameweka magoli mengi yaliyofungwa wiki iliyopita Tena ya Champion league na Confederation wao wanasema goli la sakho limechaguliwa Bora.
Mbumbumbu fc mtauwana Kwa kujitutumua.
Utotopolo katika ubora wako,Hakuna link yoyote ya Caf inayo zungumzia kua goli laSakho limechaguliwa kuwa goli Bora la week, isipokua Kuna msululu wa magoli yaliyo fungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mashindano ya Caf Moja ya magoli ayo ni la Sakho. Kwakua mmeamua kuwafurahisha mbumbumbu wenzenu bas sio mbaya sisi ni nani tupinge.
Punguza chukiHakuna link yoyote ya Caf inayo zungumzia kua goli laSakho limechaguliwa kuwa goli Bora la week, isipokua Kuna msululu wa magoli yaliyo fungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mashindano ya Caf Moja ya magoli ayo ni la Sakho. Kwakua mmeamua kuwafurahisha mbumbumbu wenzenu bas sio mbaya sisi ni nani tupinge.
Boss agiza nakuja kulipa 🦁Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika na ikifuatiwa na Al Ahly ya Misri.
.
Rekodi zinaonyesha pambano lililotazamwa zaidi ni lile la Simba vs Al Ahly la msimu uliopita ambapo Simba ilishinda 1-0, kwani lilitazamwa na mashabiki zaidi ya milioni moja, huku maoni yakiwa zaidi ya 800.
Mechi iliyoshika nafasi ya pili ni Simba na AS Vita iliyopigwa Dar ikitazamwa na mashabiki 597,000 na ile ya ugenini ambayo Simba ilishinda bao 1-0 ina watazamaji 529,000 katika chaneli ya CAF TV.
My Take
Kama unakerwa na habari zangu za Simba Sc kunyanyasa kimataifa,lete habari za timu yako Uto