Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,520
- 46,388
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunazidi kujibebea makombe...
Mzee mwenzangu utopolo 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio umeachiwa😭😭😭Mzee mwenzangu utopolo 😂🤣
Na nani mzee mwenzangu, 🙄🤔ushaanza utopolo sasa!!🤣Ndio umeachiwa😭😭😭
😭😭😭😭Na nani mzee mwenzangu, 🙄🤔ushaanza utopolo sasa!!🤣
Hebu nyamaza kwanza mzee mwenzangu, usiku huu majirani wasije wakajaa hapa wakajua kuna msiba, kumbe mtu analilia rungu kipepe. 😂🤣😭😭😭😭
Komenti namba 6 nikajua umebadili kabila.Watupe na ratiba kamili sasa ya siku ya kurejea nchini na kikombe chao cha udhindi, ili tukawapokee kwa nderemo na shangwe.
Mnatuonea gere na "makombe" yetu.Mtafikia tulipofika siku moja.Sasa ninyi mtafanikiwa wap kila kona chupi chini