Simba sc vs kagera sugar

Keep going friends kutujuza kinachoendelea
 
Milango bado ni migumu mpaka sasa simba 0 kagera 0 lakini mchezo ni mkali, wamepata mashabiki wengi wamejitokeza kushangilia timu hizi
 
Dakika ya 15 hawajafungana. List ya simba 1. kaseja 2. cholo 3. miraji adam 4. hassan khatib 5. kapombe 6.mkude 7.edward christopher 8. seseme 9. messi 10. chanongo 11. ngasa
du!simba wakali,mpaka messi yupo?nimesoma kwenye gazeti moja kuwa Fabrigas kamwambi malkia wa nyuki kama dau lipo anatua msimbaz,
 
Hawa kagera tunawapiga 2-0 leo anayebisha apande dau
 
DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza zimekatika,tusubili kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…