Mkuu tafadhali bana, kwa hiyo mimi unaniona ndo kiongozi wa kung'oa viti uwanjani? Mimi pamoja na washabiki wenzangu wa Simba humu jamvini tumesononeshwa sana na kitendo kilichofanywa na wenzetu lakini kwa sababu watu wa Simba ni waelewa natumaini hali hiyo haitajitokeza tena.Kwani uongo,muulize mkuu Masuke atakuambia.
ayo mambo yameshapita '' we can move on'' leo njoo uone sambusa za mkude, ndelma na kiemba
Mkuu leo kikosi vipi?ayo mambo yameshapita '' we can move on'' leo njoo uone sambusa za mkude, ndelma na kiemba
Mkuu tafadhali bana, kwa hiyo mimi unaniona ndo kiongozi wa kung'oa viti uwanjani? Mimi pamoja na washabiki wenzangu wa Simba humu jamvini tumesononeshwa sana na kitendo kilichofanywa na wenzetu lakini kwa sababu watu wa Simba ni waelewa natumaini hali hiyo haitajitokeza tena.
Tunashukuru uongozi wetu kwa kuonyesha ushirikiano kwa Serikali na kuahidi kwamba Simba iko tayari kufidia uharibifu huo.
Kwani maharage kalipa hiyo m25 au
ayo mambo yameshapita '' we can move on'' leo njoo uone sambusa za mkude, ndelma na kiemba