Simba SC kuweka rekodi Kombe la Dunia 2022

Simba SC kuweka rekodi Kombe la Dunia 2022

Haya mambo tulishaacha kuamini hadi tumuone anacheza.Tuliambiwa mengi kuhusu Bwalya lakini tulichokiona ni tofauti.
Nyie nyie mlisema Bwalya ni mzuri kuliko Chama.Sifa nyiingi..
Kwani Bwalya ni mchezaji mbaya?

Sawa, msimu ujao wala sio mbali...
 
Novemba sio mbali huu uzi kutimia.

#SimbaNguvuMoja.
 
Novemba sio mbali huu uzi kutimia.

#SimbaNguvuMoja.
Tupe updates
1664834935810.jpg
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom