Kocha nani?Next match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM
All the best Simba SC 🦁
Hizo povu pelekea Mbeya CityHaitakuwepo. Nasikia simba wamesusa kama ilivyo kawaida yao. Mashabiki wao wamesema timu isiende uwanjani mpaka Juma Mgunda aajiriwe kama kocha mkuu, na msaidizi wake abakie kuwa Matola.
Au azipeleke kwa Amorim Jr. 😂😂😂Hizo povu pelekea Mbeya City
Uzungu mwingi mwaisa