Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,956
Naam! ni mnyama simba akipepetana na mlandege kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi Zanzibar.

Vikosi vyote viko sawa bin sawia, tayari wakisubiria muda tu ufike tupate kufahamu je ni mnyama simba kutoka bara au ni mlandege kutokea visiwani Zanzibar.

Kwa live updates za mchezo wote ungana nami moja kwa moja kwa dk zote 90. mchezo ni saa 2:15 usiku kwa saa za afrika mashariki.
 
Ngoma ya kitoto imeisha jioni hii watoto wameenda kulala,sasa unatafa mziki wa wakubwa.
Baada ya kushuhudia wana utopolo wakiruka ruka Sasa ni muda wa kushuhudia kabumbu safi likitandazwa na lunyasi, mnyama mkali simbaaaa
 
Kikosi kinachoanza leo
JamiiForums1546927726.jpg
 
Back
Top Bottom