Wydad hata wakitufunga sio mbaya, tutakuwa tumefungwa na timu kubwa.
Ila hatuwezi kuwa wanyonge lazima tuwaoneshe kama sisi ndio presenter wa East Africa
Na kama waliangalia Derby vizuri lazima watakuja na tahadhari kwasababu wameona kikosi chetu bado haifahamiki kuwa nani ni mchezaji wa kuchungwa sana kwakuwa hata mabeki wetu nao wanafunga