Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 490
Wajameni kwa wale mafuns wa Simba, naona kwa mwelekeo huu inaweza kuwa ndio mwanzo mwisho wa makeke yao kwani nasikia hata tumaini lao NGASA kakimbia timu badala ya kwenda Mwanza kupata kichapo toka kwa TOTOS ameamua kurudi jijini walau kuangalia vi modos pale posta mpya. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Ama kweli ngoma ikuvma sana mwisho hupasuka.