View attachment 2398401View attachment 2398402View attachment 2398403
Timu yetu ya Wanawake,
@simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya
@mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.
Hii ndiyo maana halisi ya timu kubwa.