Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,527
- 34,368
Afadhali umeliona hili.Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini???
Jee Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa!!??
Jee Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu??
Jee Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki???
Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu Bingwa inalaumiwa!!
Ikiwa mshindi wa pili ligi Kuu inalaumiwa!!
Hivi Simba ndiyo ingekuwa kama Liverpool ama Arsenal ya Uingereza si wachezaji wake wangekuwa wanarushiwa mawe uwanjani!??
Kama mngekuwa mnaamini Simba ni timu mbovu msingekuwa mnalaumu kila inapofungwa au kutoka suluhu!!
Ndiyo maana yake...Maana yake hata hao wanaoifunga Simba na kuchukua ubingwa huwa hawaamini kama wamefanya hivyo mbele ya Simba kwani wanaujua ubora wa Simba!
Na magazeti ya michezo na hao wachambuzi ndiyo balaa.Simba ni Bingwa wa Ngao ya Jamii, nitajie timu yoyote yenye Taji Msimu huu kwenye ligi ya NBC?
Anayesema Simba mbovu ni kiande haswaaa
Yaani kufungwa na Aly Ahly inaonekana Simba mbovu. Sasa sijui wanatakaje!!!Simba ni timu tishio barani Africa wanaosema ni mbovu wana wivu
Mpira wa Simba na Yanga uko na Umafia mwiiingi nje ya Uwanja. Ushindi wa kujituma uwanjani ni 50% hizo zinazobaki ni mipango ya kando.Na magazeti ya michezo na hao wachambuzi ndiyo balaa.
Leo nimeona gazeti limeandika " Simba itupe Taulo ulingoni" yaani ikubali haiwi Bingwa.
Sasa huyo mwandishi anataka Simba iache kushiriki ligi Kuu!??
Nje ya uwanja ni aina gani hiyo ya Mpira!!??Mpira wa Simba na Yanga uko na Umafia mwiiingi nje ya Uwanja.
Ya sasa ni ndwele pia...🤣🤣🤣
Kabiiiiiiiiiisa hakuna namna wajipange next time
Na la Mapinduzi.Simba ni Bingwa wa Ngao ya Jamii, nitajie timu yoyote yenye Taji Msimu huu kwenye ligi ya NBC?
Anayesema Simba mbovu ni kiande haswaaa
sahihi kabisaMaana yake hata hao wanaoifunga Simba na kuchukua ubingwa huwa hawaamini kama wamefanya hivyo mbele ya Simba kwani wanaujua ubora wa Simba!
Hata tukilikosa hilo kombe la Muungano, litaanzishwa Makonda Cup na zitashiriki timu mbili tu, hadi tulichukueKila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu?
Je, Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki?
Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu Bingwa inalaumiwa!
Ikiwa mshindi wa pili ligi Kuu inalaumiwa!
Hivi Simba ndiyo ingekuwa kama Liverpool ama Arsenal ya Uingereza si wachezaji wake wangekuwa wanarushiwa mawe uwanjani!?
Kama mngekuwa mnaamini Simba ni timu mbovu msingekuwa mnalaumu kila inapofungwa au kutoka suluhu!
Utopwinyo ni kama wanga. Wenyewe wanaitwa wanga Lakini mambo yao wanafanyia gizani... Nyie mliambiwa mshiriki mkakataa leo kiroho kinawakereketa.Hata tukilikosa hilo kombe la Muungano, litaanzishwa Makonda Cup na zitashiriki timu mbili tu, hadi tulichukue