pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,439
Sio kidogo kafanya kazi kubwa sanaTukubali pia Manala amefanya kitu kwenye hamasa
mpuuzi mpuuzi tu
Sio kidogo kafanya kazi kubwa sanaTukubali pia Manala amefanya kitu kwenye hamasa
Waarab dk 71 kagere
Watanzania wenye asili ya kiarab WWAK
Dk 71 kagere
Sio kweli
Sasa kwann walalamike game ya arusha wakati kimapato ilikua haiwahusu yanga?Mnaongoza ligi bado inabidi mchangiwe!!!
Hao wapenzi wenu wengi wako wapi?
Arusha leo mazoezi tu ya Simba uwanja umejaa!!!!
Chura walipocheza Arusha African Lyon walilalamika watazamaji elfu 4.
Sio Mtwara sema NtwalaIs there any evidence so far...?? Haina ukweli hata kidogo.. labda hapo Mtwara kwa kuwa 90% ni waislam basi unajumuisha TZ nzima..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza wakati jibu ni obvious.Walitegemea wapenzi wenu wajae ili uliona timu yenu kwani huwa mnadai ni timu ya wananchi.Sasa kwann walalamike game ya arusha wakati kimapato ilikua haiwahusu yanga?
Africa Lyon ndio alikua nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
aliyefunga ni yule yule dakika ni zile zile mtoa pasi ya bao ni yuleyule yanga mjitafakari kupenda timu za nje
Walahoi wanajulikana. Mashabiki wa Simba wana uwezo wa kulipa viingilio.Ni kweli kweli kabisa Simba ina mashabiki wengi sana ila kuna kitu hujui wengi wao ni walala hoi jobless na watu wa vijiweni ndiyo maana hata iwe siku ya kazi wanajaza uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wote ulijazwa na mashabiki wa simba au ilikuwa half simba half Yanga? Umetumia kigezo gani kudhibitidha hoja yako? Timu kongwe Tanzania hii au afrika mashariki na Kati ni Yanga na ndiyo ina mashabiki wengi. Tatizo simba ndiyo yenye mashabiki Wengi wenye Kelele na sio watulivu.ilipigwa 5x 2 hatujasikia kelele nyingi hata magazeti au tv kimya leo amebahatisha kagoli kamoja kwa Yanga makelele kibao kwenye magazetini kwenye radio kwenye tv . Kwa timu ya simba ilivyokuw na usajili na majina makubwa ushindi ilikuwa finyu na wakujaribu ukizingatia Yanga timu bado inatengenezwa usajili ulikuwa wa kuungaunga hakuna Kipa mzuri klabu haina viongozi kiuchumi ipo vibaya. Hii inaonyesha kwanini simba inaiogopa Yanga sana. Nilisoma kwenye gazeti kuna kiongozi mmoja wa simba alienda Yanga akawa kiongozi sasa najiuliza kuna haja ya kuangalia hii migogoro inayotokea Yanga kwa jicho la pili. Ikumbukwe simba ilianzishwa baada ya kikundi cha waarabu kushawishi kundi la wazalendo waafrika kujitoa katika Yanga na kuanzisha Sunderland iliyokuja kuitwa simbaUkweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother.
kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani. Ukirejea tamasha la simba day. Mechi ya mbambane. Nkana. Js soura. Elliy haly na leo watani. Utagundua wingi wa mashabiki ni wa simba.
hivyo nawashauri viongozi wa simba kutumia fursa hii kuifanya simba iwe bora kabisa africa na dunia kwa ujumla. Mashabiki wengi ni fursa nzuri kama ikitumiwa vizuri.
Sure,Huyu atakuwa katoka sober house yaani simba mashabiki wengi muwatoe wapi?Ki idadi kwa maana ya nchi nzima Yanga ina mashabik weng ila Mashabiki wa simba wanaongoza kwenda uwanjan kushangalia team yao sio dar tu mpka mikoani.
Sina uhakika kama unalijua vizuri neno ushabikiwashabiki wa simba ni vibaka na wavuta bangi wahuni wasio kuwa na kazi ndio maana kelele nyingi wakati washabiki wa yanga ni wasomi
Tanzania tayari ina points 4. Thanks to Yanga kwa kuingia makundi mfululizo. Quarter finals ina points nyingi ila kuna kuna factor ya timu nyingine kutoka ligi shindani kwa sababu hizo nafasi ziko limited.Hawaongezi timu kwa kufika robo fainali tu mara moja kila unavyosonga kuna point nadhani hata Simba tukifka fainali hatuna point za kutuwezesha kuongezewa timu ligi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ameingia quarter final mwaka gani mkuu?Tanzania tayari ina points 4. Thanks to Yanga kwa kuingia makundi mfululizo. Quarter finals ina points nyingi ila kuna kuna factor ya timu nyingine kutoka ligi shindani kwa sababu hizo nafasi ziko limited.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rudia tena kusoma kwanza