Yaani kisa kuifunga Azam isiyojua wachogombania kila msimu ndio uone Yanga mnaimudu?
Yanga ina kocha anayejua mbinu ya mpira aisee,
Yanga ina wachezaji wanaojua kupambania timu na kujituma na wenye uwezo na viwango.
Yanga imeshapata test kutoka kwa timu bora na mabingwa, mfano bingwa wa Misri, Algeria na Africa kusini hivyo usidhani hiyo Simba inayotembelea spirit ya kocha mpya ndio iifunge Yanga. Yaani mmefungwa goli 5 mkiwa na kocha ambaye ana unbeaten zaidi ya 29 lakini huyu kacheza vimechi vnne tu mmejiona tayari mnaimudu Yanga.