Simba na Yanga ni hatari kuliko siasa mapenzini

Simba na Yanga ni hatari kuliko siasa mapenzini

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
Tembelea nyumba ambazo Baba ni Simba na mama ni Yanga au mama ni Simba na baba ni Yanga.....
Mara nyingi siku kadhaa kabla ya mechi na siku kadhaa baada ya mechi.... hamu ya unyunba inakata na chuki na husda hutawala. Unyumba nahisi kuupata baada ya X mas
 
Bestito upo ulipotelea wapi wewe jamani au ndo umehama mji?
tembelea nyumba ambazo baba ni simba na mama ni yanga au mama ni simba na baba ni yanga.....
Mara nyingi siku kadhaa kabla ya mechi na siku kadhaa baada ya mechi.... Hamu ya unyunba inakata na chuki na husda hutawala. Unyumba nahisi kuupata baada ya x mas
 
unashindwaje kumshawishi mke awe team yako,mi na mke simba kwa england chelsea.
 
Hahahaaa hivi inakuwaje we Simba mbebez Yanga halafu jmosi mnaenda stadium kucheck mtani jembee....mnakaa jukwaa gani hapo?
 
Back
Top Bottom