Kumbeee, ndiyo maana. Kweli sisi ni mbumbumbu FC.Wenyewe wanajiita "wa kisayansi" .Kumbe ndio sayansi yenyewe hii ya kuchaka mikataba ya wachezaji!
Bora wewe umeliona hilo. wenzako wako kwenye mahaba na dilisha la usajili baada ya yale ya FIFA kuzama ghaflaKumbeee, ndiyo maana. Kweli sisi ni mbumbumbu FC.
Namkumbuka Tibaigana. Hapo inasemekana mkataba wa Ajib ulifika tamati miaka miwili iliyopita. Bila kujua akajikuta ana mkataba wa miaka miwili zaidi unaoisha hivi karibuni. Yaani hata Mo kashindwa kumshawishi Kwani alishaapa kwa baadhi ya wachezaji kwamba akisaini tena Simba wamkate kichwa.Matopeni wana utalaam wa Kufoji mikataba ya wachezaji toka zamani
Wakishawahi kufikishwa polisi lakini bahati RPC wa Dar wakati huo alikuwa Simba damu akaipotezea!
OK. Kashfa hizi sio mpya msimbazi. Sema mashabiki wake ni waelewa, hawasumbui vichwa vyao. Na hii ni fursa nzuri kwa viongozi wajanja wajanja.Hyo Ni uongo wa wazi kabisa,sasa nimegundua kwanini baadhi ya magazeti yanafungiwwa..hivi mchezaji unaweza kufanyiwa uhuni kama hyo akakaa kimya!?ukiangalia mechi zote alizocheza ajib hakuna mechi alionekana kucheza chini ya kiwango,kama ajib kaondoka aende zake aaxhe kuichafua timu..
Simba nguvu moja!!
Acha uongo wewe ajib Ni kweli alipata timu misri,kilichomfanya ashindwe kujiunga Ni kwamba alichelewa dirisha la usajili la kule.Namkumbuka Tibaigana. Hapo inasemekana mkataba wa Ajib ulifika tamati miaka miwili iliyopita. Bila kujua akajikuta ana mkataba wa miaka miwili zaidi unaoisha hivi karibuni. Yaani hata Mo kashindwa kumshawishi Kwani alishaapa kwa baadhi ya wachezaji kwamba akisaini tena Simba wamkate kichwa.
Mbaya zaidi ilibidi wachezaji waanze mbinu za kujihami ambapo walimshauri Kiiza aliposaini achukue nakala ya mkataba na kupeleka polisi kukwepa kughushiwa.
Pili Ajib anadai alipata timu Misri baada ya majaribio, lakini uongozi wa Simba ukataka dau kubwa sana ili kukwamisha uhamisho huo.
Limekuumaje mnyamaHyo Ni uongo wa wazi kabisa,sasa nimegundua kwanini baadhi ya magazeti yanafungiwwa..hivi mchezaji unaweza kufanyiwa uhuni kama hyo akakaa kimya!?ukiangalia mechi zote alizocheza ajib hakuna mechi alionekana kucheza chini ya kiwango,kama ajib kaondoka aende zake aaxhe kuichafua timu..
Simba nguvu moja!!