Simba na Azam zisipofanya vizuri ZICHEKWE

Sasa utakuwa na mbwembwe gani wakati huna Cha kusajili

By the way namba 6 anasubiriwa. Hoi mbwembwe Ina mwezi sasa inatrend.
Hapo ndio kauli ya rage inapoonyesha alikua sahihi,yan wachezaji wote hawq Yanga ikose wa kuwasajili 🤣
 
Uwepo wa kocha mpya ni mtihani kwa Yanga. Kwa mwaka huu, sidhani.
Kocha siku zote anabebwa na kikosi bora, ukiwa na kikosi bora ata ukimuweka boko awe kocha anaweza kufika mbali kwa maana iyo sioni yanga akiyumba zaidi ya kuendeleza pale alipoishia akibebwa na squad bora
 
Bro, kuunganisha kikosi sio kitu kidogo bro.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…