Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 994
Wakuu heshima mbele.
Nimesikitika kuona hii picha ya simba wa Mikumi akiteseka na hii ni siku chache tu tangu waziri wa maliasili awasimamishe viongozi wa Serengeti national park. Kuna uzembe wa hali ya juu kwa Park warden wengi katika mbuga zetu na hii ni kwasababu wamepewa madaraka makubwa na wanajiona kama miungu watu hata hawajali wanaingiza ngapi achilia mbali wanapoteza ngapi kwa uzembe wao. Hawahawa wameua kitengo cha daktari wa mifugo katika mbuga kwa kukifanya kiwe chini ya Ikologia (Ecology) wakati ktk mbuga zote anzia za South afrika hata hapa Kenya Daktari wa mifugo wana ripoti moja kwa moja kwa Mkurugenzi mkuu ili wasicheleweshwe katika kuhudumia wanyama. Waziri Kagasheki nakuomba mulika idara hizi na uhakikishe idara hii nyeti itenganishwe