Simba mfukuzeni Aden Rage mpate raha.

Simba mfukuzeni Aden Rage mpate raha.

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Record zinaonyesha kala anapopewa majukumu huwa anaharibu tena anaharibu vibaya.

1. 1. Alipewa kazi mamlaka ya ustawishaji makao makuu CDA aliharibu mpaka akafukuzwa.

2. 2 Baada ya hapo akapewa madaraka chama cha soka cha Dar-es-sallam DRFA akaanza ugomvi na serikali kugombea uwanja wa karume ( karume memorial ) hakufanikiwa uwanja bado uko kwa mmiliki wa awali, napo wala hakupata mafanikio.

3. 3 Akapewa ukatibu mkuu kwa iliyokuwa FAT pale ndo akavuluga,eti anaweza fitina za mchezo sasa mafitina ndio manini, wakaanzisha wao na Ndoranga sheria ya 18 ya FIFA eti timu ya nyumbani lazima ishinde sheria hiyo ikauwa kabisa kiwango cha soccer la Tanzania, mbaya kuliko zote mahali hapo Rage alivuruga akafungwa na kufungwa jela kwa sababu za wizi.

4. 4. Hujifanya anajua sheria yeye na wenzie walituponza kama Taifa vijana wetu wa Serengeti boys wakafukuzwa kwenye mashindano ya Africa nafasi yetu wakachukua Zimbabwe, kujifanya wanajua wakamchezesha mchezaji wa zaidi ya miaka 17 ambapo walikamatwa redhanded na ushahidi wa passport.

5. 5 Kwenye ubunge wa Tabora nako ni majanga tu hela za mfuko wa jimbo wala hazijulikanai zinakoenda mana ndani ya CCM ni familia ya panya baba, mama, motto, njomba wote ni machokolaa.

6. 6.Kujifanya kwake anajua amesajili wachezaji kwa kukiuka utaratibu wachezaji 5 wameshindwa kucheza jana teyari timu zimeanza kuvuna point na magoli maana biashara asubuhi wenyewe Simba na Rage wao wanahunyahunya tu.

Simba mfukuzeni Rage mpate mafanikio hivi anawashindeni nini?
 
Ingawa UZI huu mahala pake ni kuleeeee kwenye jukwaa la Michezo, lakini nikuambie tu kwamba "WANACHAMA WA SIMBA SC NI KIELELEZO TOSHA CHA WANA DAR ES SALAAM". Ujuaji mwingi na kelele nyiiiingi, lakini linapo kuja suala la kuchukua hatua na maamuzi kwao ni sifuri.

Wamebakia kulamba miguu ya wenye vijisenti vyao hivyo hawana maamuzi chanya kwenye mambo ya maana. Wanajiona ni wenye kufaidi na hali ya mparaganyiko ndani ya taifa hili, huku wasijue kwamba kazi yao ni "KUSHIKILIA PEMBE, WANAOLAMUA NI WATU WENGIE KABISA"!
 
Record zinaonyesha kala anapopewa majukumu huwa anaharibu tena anaharibu vibaya.

1. 1. Alipewa kazi mamlaka ya ustawishaji makao makuu CDA aliharibu mpaka akafukuzwa.

2. 2 Baada ya hapo akapewa madaraka chama cha soka cha Dar-es-sallam DRFA akaanza ugomvi na serikali kugombea uwanja wa karume ( karume memorial ) hakufanikiwa uwanja bado uko kwa mmiliki wa awali, napo wala hakupata mafanikio.

3. 3 Akapewa ukatibu mkuu kwa iliyokuwa FAT pale ndo akavuluga,eti anaweza fitina za mchezo sasa mafitina ndio manini, wakaanzisha wao na Ndoranga sheria ya 18 ya FIFA eti timu ya nyumbani lazima ishinde sheria hiyo ikauwa kabisa kiwango cha soccer la Tanzania, mbaya kuliko zote mahali hapo Rage alivuruga akafungwa na kufungwa jela kwa sababu za wizi.

4. 4. Hujifanya anajua sheria yeye na wenzie walituponza kama Taifa vijana wetu wa Serengeti boys wakafukuzwa kwenye mashindano ya Africa nafasi yetu wakachukua Zimbabwe, kujifanya wanajua wakamchezesha mchezaji wa zaidi ya miaka 17 ambapo walikamatwa redhanded na ushahidi wa passport.

5. 5 Kwenye ubunge wa Tabora nako ni majanga tu hela za mfuko wa jimbo wala hazijulikanai zinakoenda mana ndani ya CCM ni familia ya panya baba, mama, motto, njomba wote ni machokolaa.

6. 6.Kujifanya kwake anajua amesajili wachezaji kwa kukiuka utaratibu wachezaji 5 wameshindwa kucheza jana teyari timu zimeanza kuvuna point na magoli maana biashara asubuhi wenyewe Simba na Rage wao wanahunyahunya tu.

Simba mfukuzeni Rage mpate mafanikio hivi anawashindeni nini?

Nidhani utsema simba "tumfukuze" Rage lakini kumbe ni simba "mfukuzeni" Rage; umepata lini hajira ya mshauri mwandamizi wa simba?
Kaa kimya kwani adui mwobee njaa mkuu!!
Siku nyingine tembelea jukwaa la michezo hapa siasa mkuu.
 
Rage ni janga kwa ssc kapeleka timu singida ili icheze na kiomboi fc kwa lengo la kumdhoofisha dr slaa jana timu imecheza kwa kiwango cha chini kabisa siasa na mpira wapi na wapi?
 
Bao la pili la Simba golikipa alifungwa tobo, enyi wana simba mngesajili kipa kwanza kabla ya kumwachia Kaseja, huu ni uzembe wa dhahili kabisa wa viongozi.
 
Rage kanifanya niichukie SC ghafla,Huyu kiumbe hafai kabisa kupewa dhamana sehemu yoyote yenye watu makini.
 
Watu wanaambiwa wasifanye hivi wao wanafanya "wafungwe tu" ukikaidi maagizo utafungwa tu na mimi nasema "wafungwe tu" maana nimechoka..Kiomboi fc hoyeeeeeeeeeeeee
 
Nyie pigeni kelele zenu, mwenzenu yupo agenda ya saba. Siku mkikumbuka shuka, itakuwa ni asubuhi na jua linawaka.
 
Hakuna mtu anaejua matokeo ya jana au nyote watu wa bla bla tu

simba 2. rhino 2. uwanja wa ali hassan mwinyi Tabora. bao la kusawazisha la rhino walimfunga tobo golikipa mpya wa simba. yaani huyo kipa hamfikii hata nusu Kaseja.
 
Kiongozi yeyote fisadi hawezi kuleta mafanikio kwenye soka, kwani anafanya mambo kiujanjaujanja soka linataka ujuzi
 
Mkuu cute_39 hata azam walitoa sare na mtibwa lakini kumbuka RHINO kwanza ndo imependa daraja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom