mkubwa mzima upo busy kusambaza uongo.. so shameee!Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.
Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.
Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.
Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Kwani mechi zinachezwa hapa JF?Mnahangaika na mambo ya simba wakati ma group ya Caf confederation cup yameshapangwa mkija kupigwa 7 sijui mtamlaumu nani.
Mudy ameikacha labdaKwani mwamedi anasemaje?
Dada Babra ameua hii teamJamani Simba yetu mbona inasambaratika Kila kukicha[emoji24][emoji24][emoji24]
Biashara ya madawa ya kulevya hainaga uhakika sana, tuwe macho na wafadhili wa timu zetu wanaonekana ni mabilionea kumbe ni pesa za ungaHabari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.
Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.
Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.
Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Kweli kabisaBiashara ya madawa ya kulevya hainaga uhakika sana, tuwe macho na wafadhili wa timu zetu wanaonekana ni mabilionea kumbe ni pesa za unga
Manji ndo alikuwa mkali wa hizi kazi wengine wanaiga tuKwani mechi zinachezwa hapa JF?
Anasema gongowazi wote wapumbavu sanaKwani mwamedi anasemaje?
Itaitwa jina lake la Asili queen [emoji146]Mkuu hata ikipigwa mnada, simba haitabadili jina kuitwa "Mayele FC".
Mwamedi janja janja sana njoo huku unaitwa.Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.
Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.
Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.
Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Kweli we UtopoloJamani Simba yetu mbona inasambaratika Kila kukicha[emoji24][emoji24][emoji24]
We ni popoma? Maana nayeye anatokea bundaKweli we Utopolo