Simba leo alipotea katikati

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
515
1,364
Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.

Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa wakifanya yao eneo la kiungo lakini bado Simba walizidi kuelemewa na kucheza long balls tu hadi Nyosso anatolewa kwa nyekundu Ruvu walikuwa wamelishika eneo la kiungo na kupiga flow za pass.

Boniface Mkwasa aliingia na mbinu mzuri ya kuwazuia Simba makosa machache yamewagharimu
 
Eti makosa machache. Endelea kuteseka. Buyu kwa 3
 
Jicho lililokuonyesha kuwa Ruvu walitawala Kiungo kwa Dk 90 ndio hilohilo lililokuonyesha kuwa Bocco alitoka akaingia Mzamiru!!
 
Utakuwa ni mkurungwa wa uto fc .
Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.

Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa wakifanya yao eneo la kiungo lakini bado Simba walizidi kuelemewa na kucheza long balls tu hadi Nyosso anatolewa kwa nyekundu Ruvu walikuwa wamelishika eneo la kiungo na kupiga flow za pass.

Boniface Mkwasa aliingia na mbinu mzuri ya kuwazuia Simba makosa machache yamewagharimu
 
Mleta uzi kaangukiwa na kitu kizito kichwani uto bna
 
Jadili ya Sarpong... Ya Simba huyawezi
FB_IMG_16227964660937042.jpg
 
Nafikiri hata mpira haukuutazama, BOCCO alitoka:) akaingia Mzamiru🤣 Nakushauri angalia Mpira marudio utafahamu ni nani alitoka na akaingia Mzamiru
Huyu kasikia tu kijiweni wakiongea. Kwa kuwa Chama hakuwepo basi wanaamini Simba hatuna viuongo wa kutawala mchezo kati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom