Hili ni kosa kubwa sanaaaaHatuna mshambuliaji
Kweli kabisaHatuna mshambuliaji
Ali ali ndio timu gani..
BaelezeeLawama sasa....
Tumewaambia mpunguze mamipira hamsikii...
Yap matokeo yake mtu akipata mpira ni pasi tu kutembea hawezi mfano babacar sarr walau ngoma lakini na ye bado labda inatokana na waliomzungukaSimba inatatizo la kutokuwa na viungo wanaodrive mipira na kupunguza watu, na umaliziaji pia. Tunataka wachezaji wa viungo wanaotembea na mpira kama iniesta, xavi, modrick, Sasa mchezaji akipata mpira pasi tu Hasogei hata Hatua nne
Benchika sikumwelewa kumwacha Sarr na kumtoa Kanoute, hii ilikua sub ya hovyo!Yap matokeo yake mtu akipata mpira ni pasi tu kutembea hawezi mfano babacar sarr walau ngoma lakini na ye bado labda inatokana na waliomzunguka
Simba ambayo kwangu Mimi ni best ile iliyotolewa na kaizer chiefs tulikua na viungo wanaotembea na mpira kupunguza watu ikibidi hata mashuti ya mbali ikibidi
Nilipoona DM watatu kwenye list nikajua tumekwisha.sometimes hua nashindwa kuelewa kocha benchika malengo ya kuanza na viungo 3 wakabaji kiasili ngoma,kanoute na babacar halafu mbele kuna playmaker 2 na straika 1.
Naamini/naona kuna wingers ambao wana uwezo lakini hawapewi nafasi mfano miqquesone na chasambi ukiangalia hao viungo wote sio creativity iwapo mkiwa mnacheza na timu inayozuia kama Al Ahly.
Unapocheza na timu inayopaki basi at least uwe na wachezaji wanyumbulifu wenye kasi ambao wanaweza fungua timu mfano miqquesone na chasambi halafu ukabaki na na ngoma akasimama nyuma.
Naamini kabisa simba inatakiwa ianze kutumia mawinga halisia ili walau kutengeneza connection kutoka kiungo cha juu na cha chini huku ikipunguza viungo wakabaji na saidoo atolewe kabisa.
Mwishoni timu nzima ilionekana kuchoka inonga sijui kalala wapi Leo,kibu kapambana na timu imecheza lakini ndo hivo matokeo hayaji hivi hivi lazima kuwe na mipango na wachezaji wenye creativity in case mipango imefeli ambao hawatumiki Miqquesone/ Chasambi.
NB;Ahmed ally si muda atakosa mvuto watu wanahamasika kuisupport timu kulingana na matokeo na si propaganda mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja msimu ujao Mangungu afanye usajili wa mshambuliaji hatari mno Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC. Simba bingwa CAF
Baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa Ali Ali.Kikao cha mbumbumbu
Bado mko na phiri tu?Onana ni hopeless player, ni ajabu eti Phiri aliondoka.