jamani tuna masuala mengi ya Msingi Kitaifa kwa ss, GT na hii kweli?
mi ntakawakubali hadi mkirudisha 5,mnavizia watu wana matatizo ndo mshnde,wehu kweli nyie
mi ntakawakubali hadi mkirudisha 5,mnavizia watu wana matatizo ndo mshnde,wehu kweli nyie
Katika historia ya mechi za Simba na Yanga, Yanga kashinda mara 24, na Simba kashinda...mara 19 sasa hii habari ya matatizo kuwa ndio kisingizio naona unajifariji tu.
Matamshi yako yangekuwa na nguvu kama hizo takwimu zingelikuwa kinyume.

kwenda zako na takwimu zako huko, kwanza hizo takwimu si za kweli
jamani tuna masuala mengi ya Msingi Kitaifa kwa ss, GT na hii kweli?
mi ntakawakubali hadi mkirudisha 5,mnavizia watu wana matatizo ndo mshnde,wehu kweli nyie
mkuu,ujue tano bila ni nyingi sana,hata mkichukua ndoo mara elf lakini kumbukumbu hyo nayo haifutiki broo,ndo maana hata wenzetu wanasemaga 'it was total humilation' ukizingatia we ni mtani,tuliwadhalilisha mnooo,watu tulikuwa tunaungaunga mnashindwa kutupiga nyingi tukikaa sawa mtatuweza wehu nyie,mkija ovyoovyo tutapiga hata 8Hizo 5 za kwenye vitabu vya Historia we endelea kujiliwaza nazo, tena zilipigwa tukiwa tumeshasusa ligi yenyewe baada ya Azam kudhulumiwa points zao na nyinyi kupewa ubingwa. Sisi tutaendelea kubeba ndoo na kukunyuka.Na mtapakatwa sana karne hii. Naomba muanze kuandaa visingizio vya Kagame manake na kule tunaenda kubeba ndoo kama kawaida. Si unajua Kagame ikichezwa nje ya Tanzania Simba Koko anaenda kushiriki, Yanga anaenda kushindana.