1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 452
- 1,794
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.
Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.
Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.
Huo ni ushauri wangu tu.