Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu
 
Kumbe kweli uchawi upo

Na maadui zangu nawaombea maisha marefu wazidi kuona unavyonibariki...Bwana ni mwokozi wangu...ananipenda leo kuliko jana

Viva simba
 
Back
Top Bottom